Mwanzo 37:1 - Swahili Revised Union Version1 Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani. Tazama sura |