Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 36:43 - Swahili Revised Union Version

43 jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kulingana na makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Magdieli na Iramu. Hao walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki. Hivi ndivyo vizazi vya Esau, baba wa Waedomu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Magdieli na Iramu. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki. Huyu ndiye alikuwa Esau, baba wa Waedomu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:43
15 Marejeleo ya Msalaba  

Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Abrahamu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.


Esau akamwambia Yakobo, Tafadhali, unipe hicho chakula chekundu nile, kwa kuwa ninazimia mimi. Kwa hiyo walimwita jina lake Edomu.


Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,


jumbe Kenazi, jumbe Temani, jumbe Mibsari,


Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri.


Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani.


Basi si ninyi mlionileta huku, ila Mungu; naye ameniweka kama baba kwa Farao, na bwana katika nyumba yake yote, na mtawala katika nchi yote ya Misri.


na jumbe Magdieli, na jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu.


Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu; kwani hao walikuwa mafundi stadi.


Ndipo majumbe wa Edomu wakashangaa, Watu wa Moabu wenye nguvu tetemeko limewapata, Watu wote wakaao Kanaani wameyeyuka.


Kisha Musa akatuma wajumbe kutoka Kadeshi wamwendee mfalme wa Edomu, na kusema, Ndugu yako Israeli asema, Wewe wazijua taabu zote zilizotupata;


msipigane nao; kwa kuwa sitawapa sehemu ya nchi yao kamwe, hata kiasi cha kukanyaga wayo wa mguu; kwa kuwa nimempa Esau milima ya Seiri kuwa milki yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo