Mwanzo 36:22 - Swahili Revised Union Version22 Na wana wa Lotani, ni Hori, na Hemamu; na dada yake Lotani ni Timna. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Watoto wa kiume wa Lotani walikuwa Hori na Hemani; na dada yake Lotani aliitwa Timna. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Watoto wa kiume wa Lotani walikuwa Hori na Hemani; na dada yake Lotani aliitwa Timna. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Watoto wa kiume wa Lotani walikuwa Hori na Hemani; na dada yake Lotani aliitwa Timna. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. Tazama sura |