Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 34:29 - Swahili Revised Union Version

29 Wakatwaa na mali yao zote, watoto wao wote, na wake zao wakateka na hata wakapora vyote vilivyokuwemo nyumbani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Waliteka nyara mali yote, watoto na wanawake wote na chochote kilichokuwa majumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Waliteka nyara mali yote, watoto na wanawake wote na chochote kilichokuwa majumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Waliteka nyara mali yote, watoto na wanawake wote na chochote kilichokuwa majumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Waliteka utajiri wao wote, pamoja na wanawake na watoto wao, wakapora kila kitu ndani ya nyumba zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Walichukua utajiri wao wote pamoja na wanawake na watoto wao, wakachukua nyara kila kitu ndani ya nyumba zao.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 34:29
6 Marejeleo ya Msalaba  

Labani akamwambia Yakobo, Umefanya nini? Umenihadaa, ukawachukua binti zangu kama mateka waliotwaliwa kwa upanga.


Wana wa Yakobo wakawajia hao waliouawa, wakaupora mji kwa sababu wamemharibu dada yao.


Wakachukua kondoo wao, na ng'ombe wao, na punda wao, na vitu vilivyokuwamo mjini, na vile vilivyokuwako kondeni.


Yakobo akawaambia Simeoni na Lawi, Mmenitaabisha, kunifanya ninuke vibaya kati ya watu wa nchi hii, Wakanaani na Waperizi; na mimi, kwa kuwa watu wangu ni haba, watanikusanyikia, na kunipiga, nami nitaangamizwa, mimi na nyumba yangu.


Nao wakatwaa hizo nyara zote, na mateka yote, ya wanadamu na ya wanyama.


Wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao; na ng'ombe zao wote, na kondoo zao wote, na mali zao zote, wakachukua nyara.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo