Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 34:15 - Swahili Revised Union Version

15 Lakini kwa sharti hii tu tutapatana nanyi; mkiwa kama sisi, akitahiriwa kila mwanamume wenu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: Kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: Kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Tutakubaliana nanyi tu kwa sharti hili: kwamba mtakuwa kama sisi kwa kumtahiri kila mwanamume miongoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Lakini kwa sharti hili tu tutapatana nanyi; mkiwa kama sisi, akitahiriwa kila mwanamume wenu,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 34:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati yangu nawe, na uzao wako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.


wakawaambia, Hatuwezi kufanya neno hili, tumpe dada yetu mtu asiyetahiriwa; ingekuwa aibu kwetu.


ndipo tutawapa ninyi binti yetu, na sisi tutatwaa binti zenu tutakaa pamoja nanyi, nasi tutakuwa watu wamoja.


Ndugu zangu, nawasihi, iweni kama mimi, maana mimi ni kama ninyi. Hamkunidhulumu kwa lolote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo