Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 33:8 - Swahili Revised Union Version

8 Akasema, Kundi hili lote nililokutana nalo, maana yake ni nini? Akasema, Ili kunipatia kibali machoni pa bwana wangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Ndipo Esau akauliza, “Nini maana ya kundi hili nililokutana nalo njiani?” Yakobo akamjibu, “Nilitumaini kupata fadhili kwako ee bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Ndipo Esau akauliza, “Nini maana ya kundi hili nililokutana nalo njiani?” Yakobo akamjibu, “Nilitumaini kupata fadhili kwako ee bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Ndipo Esau akauliza, “Nini maana ya kundi hili nililokutana nalo njiani?” Yakobo akamjibu, “Nilitumaini kupata fadhili kwako ee bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Esau akauliza, “Makundi hayo yote niliyokutana nayo yana maana gani?” Akasema, “Ni ili kupata kibali machoni pako, bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Esau akauliza, “Una maana gani kuhusu makundi hayo yote niliyokutana nayo?” Akasema, “Ni ili kupata kibali machoni pako, bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Akasema, Kundi hili lote nililokutana nalo, maana yake ni nini? Akasema, Ili kunipatia kibali machoni pa bwana wangu.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 33:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

nami nina ng'ombe, na punda, na kondoo, na watumwa, na vijakazi; nami nimepeleka watu nimpashe bwana wangu habari, nipate neema machoni pako.

Wale wajumbe wakarudi kwa Yakobo wakisema, Tulifika kwa ndugu yako, Esau, naye anakuja kukulaki, na watu mia nne pamoja naye.

Lea naye, na wanawe, wakakaribia wakainama. Baadaye Yusufu na Raheli wakakaribia, wakainama.

Ikawa tokea wakati alipomweka kuwa msimamizi wa nyumba yake, na vyote vilivyomo, BWANA akabariki nyumba ya yule Mmisri kwa ajili ya Yusufu. Baraka za BWANA zikawa juu ya vyote alivyokuwa navyo katika nyumba, na katika shamba.

Mfalme akampenda Esta kuliko wanawake wote, naye akapata neema na kibali machoni pake kuliko mabikira wote; basi akamtia taji la kifalme kichwani pake, akamfanya awe malkia badala ya Vashti.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo