Mwanzo 33:6 - Swahili Revised Union Version6 Ndipo wale vijakazi, na wana wao, wakakaribia wakainama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kisha wale wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, wakainama kwa heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kisha wale wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, wakainama kwa heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kisha wale wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, wakainama kwa heshima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kisha wale wajakazi na watoto wao wakakaribia na kusujudu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kisha wale watumishi wa kike na watoto wao wakakaribia na kusujudu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Ndipo wale vijakazi, na wana wao, wakakaribia wakainama. Tazama sura |