Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 31:10 - Swahili Revised Union Version

10 Ikawa, wakati wale wanyama walipochukua mimba, niliinua macho yangu nikaona katika ndoto, na tazama, mabeberu waliowapanda hao wanyama walikuwa na milia, na madoadoa, na marakaraka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 “Wakati wa majira ya wanyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda majike walikuwa wenye milia, madoadoa na mabakamabaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 “Wakati wa majira ya wanyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda majike walikuwa wenye milia, madoadoa na mabakamabaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 “Wakati wa majira ya wanyama kupata mimba niliota ndoto, na katika ndoto hiyo niliona mabeberu wote waliopanda majike walikuwa wenye milia, madoadoa na mabakamabaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 “Majira ya kuzaliana niliota ndoto. Niliinua macho na kuona kwamba wale beberu waliokuwa wakiwapanda mbuzi walikuwa wana mistari, madoadoa na mabaka mabaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 “Wakati fulani majira ya kuzaliana niliota ndoto ambayo niliinua macho na kuona kwamba wale mabeberu waliokuwa wakipanda kundi walikuwa wa mistari, madoadoa na mabakabaka.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 31:10
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akamwambia katika ndoto, Nami nimejua ya kwamba kwa ukamilifu wa moyo wako umefanya hivi, ndipo nami nikakuzuia usinitendee dhambi, kwa hiyo sikukuacha umguse.


Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake.


Wanyama wakapata mimba mbele ya hizo fito, wakazaa wanyama walio na milia, na madoadoa, na marakaraka.


Na malaika wa Mungu akaniambia katika ndoto, Yakobo! Nikasema, Mimi hapa.


Akasema, Inua, basi, macho yako, ukaone; mabeberu wote wanaopanda kondoo wana milia, na madoadoa, na marakaraka; maana nimeona yote aliyokutenda Labani.


Mungu akamjia Labani, Mshami, katika ndoto ya usiku, akamwambia, Ujihadhari, usimwambie Yakobo neno la heri wala la shari.


Hivi Mungu akamnyang'anya mali yake baba yenu, na kunipa mimi.


Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari, nao wakazidi kumchukia;


Na huko Gibeoni BWANA akamtokea Sulemani katika ndoto ya usiku; Mungu akamwambia, Omba utakalo nikupe.


Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.


Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo