Mwanzo 30:3 - Swahili Revised Union Version3 Akasema, Yuko mjakazi wangu, Bilha, uingie kwake ili kwamba azae kwa niaba yangu, nami nipate uzao kwa yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Raheli akamjibu, “Mjakazi wangu Bilha yupo. Lala naye ili azae watoto badala yangu, nami pia nipate watoto kutokana naye.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Raheli akamjibu, “Mjakazi wangu Bilha yupo. Lala naye ili azae watoto badala yangu, nami pia nipate watoto kutokana naye.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Raheli akamjibu, “Mjakazi wangu Bilha yupo. Lala naye ili azae watoto badala yangu, nami pia nipate watoto kutokana naye.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo Raheli akamwambia, “Hapa yupo Bilha, mjakazi wangu. Kutana naye kimwili ili aweze kunizalia watoto, na kupitia kwake mimi pia niweze kuwa na uzao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo Raheli akamwambia, “Hapa yupo Bilha, mtumishi wangu wa kike. Kutana naye kimwili ili aweze kunizalia watoto na kwa kupitia yeye mimi pia niweze kuwa na uzao.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akasema, Yuko mjakazi wangu, Bilha, uingie kwake ili kwamba azae kwa niaba yangu, nami nipate uzao kwa yeye. Tazama sura |