Mwanzo 30:24 - Swahili Revised Union Version24 Akamwita jina lake Yusufu, akisema, Bwana aniongeze mwana mwingine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Yosefu akisema, “Mwenyezi-Mungu na aniongezee mtoto mwingine wa kiume.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Yosefu akisema, “Mwenyezi-Mungu na aniongezee mtoto mwingine wa kiume.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Yosefu akisema, “Mwenyezi-Mungu na aniongezee mtoto mwingine wa kiume.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Akamwita jina Yusufu, akasema, “Mwenyezi Mungu na anipe mwana mwingine.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Akamwita Yusufu na kusema, “bwana na anipe mwana mwingine.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Akamwita jina lake Yusufu, akisema, Bwana aniongeze mwana mwingine. Tazama sura |