Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 30:23 - Swahili Revised Union Version

23 Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Akapata mimba na akamzaa mwana; akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 30:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.


Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.


Na wale watu walikuwa wakimngojea Zakaria, wakastaajabia kukawia kwake mle hekaluni.


Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.


kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa ukoo wa Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.


Kisha akamwambia baba yake, Basi na nifanyiwe neno hili; niache peke yangu muda wa miezi miwili, ili nipate kwenda milimani, na kuombolea ubikira wangu, mimi na wenzangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo