Mwanzo 29:16 - Swahili Revised Union Version16 Labani alikuwa na binti wawili, jina la mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Sasa, Labani alikuwa na binti wawili: Mkubwa aliitwa Lea, na mdogo aliitwa Raheli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Sasa, Labani alikuwa na binti wawili: Mkubwa aliitwa Lea, na mdogo aliitwa Raheli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Sasa, Labani alikuwa na binti wawili: mkubwa aliitwa Lea, na mdogo aliitwa Raheli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Labani alikuwa na binti wawili; binti mkubwa aliitwa Lea, naye binti mdogo aliitwa Raheli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Labani alikuwa na binti wawili, jina la mkubwa ni Lea, na jina la mdogo ni Raheli. Tazama sura |