Mwanzo 29:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha Yakobo akashika njia yake, akafika nchi ya wana wa mashariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yakobo aliendelea na safari yake, akafika katika nchi za watu wa mashariki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kisha Yakobo akaendelea na safari yake, na akafika nchi ya watu wa mashariki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha Yakobo akashika njia yake, akafika nchi ya wana wa mashariki. Tazama sura |