Mwanzo 27:10 - Swahili Revised Union Version10 Kisha utampelekea baba yako, apate kula, ili akubariki kabla ya kufa kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kisha utampelekea baba yako ale, apate kukubariki kabla hajafa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kisha utampelekea baba yako ale, apate kukubariki kabla hajafa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kisha utampelekea baba yako ale, apate kukubariki kabla hajafa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kisha umpelekee baba yako ale, ili akubariki kabla hajafa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kisha umpelekee baba yako ale, ili apate kukubariki kabla hajafa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kisha utampelekea baba yako, apate kula, ili akubariki kabla ya kufa kwake. Tazama sura |