Mwanzo 26:21 - Swahili Revised Union Version21 Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania; akakiita Sitna. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna. Tazama sura |