Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 26:19 - Swahili Revised Union Version

19 Watumwa wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakapata kisima cha maji yanayobubujika.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Lakini watumishi wa Isaka walipochimba katika lile bonde na kupata kisima cha maji yanayobubujika,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Watumishi wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakagundua huko kisima chenye maji safi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Watumishi wa Isaka wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Watumwa wa Isaka wakachimba katika lile bonde, wakapata kisima cha maji yanayobubujika.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 26:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Isaka akarudi akavichimbua vile visima vya maji walivyovichimba siku za Abrahamu babaye; maana wale Wafilisti walikuwa wamevifukia baada ya kufa kwake Abrahamu; naye akaviita majina kufuata majina aliyoviita babaye.

Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.

Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.

Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo