Mwanzo 26:13 - Swahili Revised Union Version13 Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Isaka akawa tajiri, nayo mali yake ikaendelea kuongezeka hata akawa tajiri sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Isaka akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana. Tazama sura |