Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 25:1 - Swahili Revised Union Version

1 Abrahamu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Abrahamu alioa mke mwingine, jina lake Ketura.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ibrahimu alioa mke mwingine aliyeitwa Ketura.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ibrahimu alioa mke mwingine, ambaye jina lake aliitwa Ketura.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Abrahamu alioa mke mwingine jina lake akiitwa Ketura.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 25:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mama yake.


Akamzalia Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua.


Basi Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza akamwambia, Usitwae mke wa binti za Kanaani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo