Mwanzo 24:9 - Swahili Revised Union Version9 Yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la Abrahamu bwana wake, akamwapia katika neno hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Basi, mtumishi huyo akaweka mkono wake mapajani mwa Abrahamu, bwana wake, akaapa kuhusu jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Basi, mtumishi huyo akaweka mkono wake mapajani mwa Abrahamu, bwana wake, akaapa kuhusu jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Basi, mtumishi huyo akaweka mkono wake mapajani mwa Abrahamu, bwana wake, akaapa kuhusu jambo hilo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Basi yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la bwana wake Ibrahimu, akamwapia kuhusu shauri hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Basi yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la bwana wake Ibrahimu akamwapia kuhusu shauri hili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la Abrahamu bwana wake, akamwapia katika neno hilo. Tazama sura |