Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 24:64 - Swahili Revised Union Version

64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

64 Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

64 Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

64 Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

64 Rebeka pia akainua macho, akamwona Isaka. Akashuka kutoka ngamia wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

64 Rebeka pia akainua macho akamwona Isaka. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:64
4 Marejeleo ya Msalaba  

Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.


Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye shambani kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.


Kisha ikawa, hapo huyo mwanamke alipokwenda kwa mumewe, akamtaka aombe shamba kwa baba yake; akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Unataka nikupe nini?


Ikawa hapo alipokwenda kukaa naye, huyo mwanamke akamtaka ili aombe shamba kwa baba yake; na huyo mwanamke akashuka katika punda wake; Kalebu akamwuliza, Una haja gani utakayo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo