Mwanzo 24:52 - Swahili Revised Union Version52 Ikawa mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Ikawa huyo mtumishi wa Ibrahimu aliposikia waliyosema, alisujudu, uso wake ukagusa chini mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Ikawa huyo mtumishi wa Ibrahimu aliposikia waliyosema, alisujudu mpaka nchi mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI52 Ikawa mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za BWANA. Tazama sura |