Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:39 - Swahili Revised Union Version

39 Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Nami nikamwambia bwana wangu, ‘Huenda mwanamke huyo akakataa kufuatana nami kuja huku.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 “Kisha nikamuuliza bwana wangu, ‘Je, kama huyo mwanamke hatakubali kurudi nami?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 “Kisha nikamuuliza bwana wangu, ‘Je, kama huyo mwanamke hatakubali kurudi nami?’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

39 Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo mwanamke hatafuatana nami.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:39
2 Marejeleo ya Msalaba  

Ila uende mpaka nyumbani kwa babangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu mke.

Yule mtumishi akamwambia, Labda yule mwanamke hatakubali kufuatana nami mpaka nchi hii, je! Nimrudishe mwanao mpaka nchi ulikotoka?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo