Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 24:28 - Swahili Revised Union Version

28 Basi yule msichana akapiga mbio, akawaambia watu wa nyumba ya mama yake mambo hayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Kisha yule msichana akakimbia kwenda kuwapa habari jamaa za mama yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Kisha yule msichana akakimbia kwenda kuwapa habari jamaa za mama yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Kisha yule msichana akakimbia kwenda kuwapa habari jamaa za mama yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Yule msichana akakimbia, akawaeleza watu wa nyumbani mwa mama yake kuhusu mambo haya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Yule msichana akakimbia akawaeleza watu wa nyumbani mwa mama yake kuhusu mambo haya.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:28
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na Rebeka alikuwa na kaka, jina lake Labani. Labani akatoka mbio kumwendea yule mtu kisimani.


Nikainama, nikamsujudia BWANA, nikamtukuza BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, aliyeniongoza njiani, nimtwalie mwana wa bwana wangu binti wa ndugu yake.


Kaka yake na mama yake wakasema, Msichana na akae kwetu kama siku kumi, zisipungue, baadaye aende.


Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mama yake.


Yakobo akamwarifu Raheli ya kuwa yeye ni ndugu wa babaye, na ya kuwa ni mwana wa Rebeka. Basi akapiga mbio akampasha babaye habari.


Labani akaingia katika hema ya Yakobo, na hema ya Lea, na hema ya vijakazi wawili, wala hakuiona. Akatoka katika hema ya Lea, akaingia katika hema ya Raheli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo