Mwanzo 23:3 - Swahili Revised Union Version3 Akaondoka Abrahamu kutoka mbele ya maiti wake, akasema na wazawa wa Hethi, akinena, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Abrahamu akaiacha maiti ya mkewe, akatoka kwenda kuzungumza na Wahiti, akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Abrahamu akaiacha maiti ya mkewe, akatoka kwenda kuzungumza na Wahiti, akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Abrahamu akaiacha maiti ya mkewe, akatoka kwenda kuzungumza na Wahiti, akawaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo Ibrahimu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo Ibrahimu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akaondoka Abrahamu kutoka mbele ya maiti wake, akasema na wana wa Hethi, akinena, Tazama sura |