Mwanzo 23:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia moja na ishirini na saba, ndio umri wake Sara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Sara aliishi miaka 127. Hiyo ndiyo iliyokuwa miaka ya maisha yake Sara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Sara aliishi miaka mia moja na ishirini na saba (127). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia moja na ishirini na saba, ndio umri wake Sara. Tazama sura |