Mwanzo 22:4 - Swahili Revised Union Version4 Siku ya tatu Abrahamu akainua macho yake, akapaona mahali pakiwa bado ni mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mnamo siku ya tatu, Abrahamu aliinua macho akapaona mahali hapo kwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mnamo siku ya tatu, Abrahamu aliinua macho akapaona mahali hapo kwa mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mnamo siku ya tatu, Abrahamu aliinua macho akapaona mahali hapo kwa mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Siku ya tatu Ibrahimu akainua macho, akapaona mahali pale kwa mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Siku ya tatu Ibrahimu akainua macho, akapaona mahali pale kwa mbali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Siku ya tatu Abrahamu akainua macho yake, akapaona mahali pakiwa bado ni mbali. Tazama sura |