Mwanzo 21:9 - Swahili Revised Union Version9 Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Abrahamu, anafanya dhihaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hajiri Mmisri alimzalia Ibrahimu alikuwa anadhihaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hagari, Mmisri, aliyemzalia Ibrahimu alikuwa anadhihaki, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Abrahamu, anafanya dhihaka. Tazama sura |