Mwanzo 21:18 - Swahili Revised Union Version18 Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Simama umwinue mtoto na kumshika vizuri mikononi mwako, kwani nitamfanya awe baba wa taifa kubwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Simama umwinue mtoto na kumshika vizuri mikononi mwako, kwani nitamfanya awe baba wa taifa kubwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Simama umwinue mtoto na kumshika vizuri mikononi mwako, kwani nitamfanya awe baba wa taifa kubwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Mwinue kijana na umshike mkono, kwa maana nitamfanya kuwa taifa kubwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Mwinue kijana na umshike mkono, kwa maana nitamfanya kuwa taifa kubwa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa. Tazama sura |