Mwanzo 20:15 - Swahili Revised Union Version15 Abimeleki akasema, Nchi yangu iko mbele yako, ishi upendapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Tena Abimeleki akamwambia Abrahamu, “Tazama, nchi hii yote ni yangu! Basi, chagua popote upendapo, ukae.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Tena Abimeleki akamwambia Abrahamu, “Tazama, nchi hii yote ni yangu! Basi, chagua popote upendapo, ukae.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Tena Abimeleki akamwambia Abrahamu, “Tazama, nchi hii yote ni yangu! Basi, chagua popote upendapo, ukae.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Abimeleki akasema, “Nchi yangu iko mbele yako; ishi popote unapotaka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Abimeleki akasema, “Nchi yangu iko mbele yako, ishi popote unapotaka.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Abimeleki akasema, Nchi yangu iko mbele yako, ishi upendapo. Tazama sura |
Na sasa, tazama, nakufungulia leo minyororo hii iliyo mikononi mwako. Kama ukiona ni vema kwenda Babeli pamoja nami, haya! Njoo, nami nitakutunza sana; lakini kama ukiona ni vibaya kwenda Babeli pamoja nami, basi, acha; tazama, nchi yote iko mbele yako; palipo pema machoni pako na pa kukufaa, nenda huko.