Mwanzo 20:14 - Swahili Revised Union Version14 Basi Abimeleki akatwaa kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi, akampa Abrahamu, akamrudishia Sara mkewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Abimeleki akamrudishia Abrahamu mke wake Sara, akampa na kondoo, ng'ombe na watumwa wa kiume na kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Abimeleki akamrudishia Abrahamu mke wake Sara, akampa na kondoo, ng'ombe na watumwa wa kiume na kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Abimeleki akamrudishia Abrahamu mke wake Sara, akampa na kondoo, ng'ombe na watumwa wa kiume na kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha Abimeleki akatwaa kondoo na ng’ombe, na watumwa wa kiume na wa kike, akampa Ibrahimu, na akamrudisha Sara kwa mumewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha Abimeleki akatwaa kondoo na ng’ombe, na watumwa wa kiume na wa kike akampa Ibrahimu, akamrudisha Sara kwa mumewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Basi Abimeleki akatwaa kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi, akampa Abrahamu, akamrudishia Sara mkewe. Tazama sura |