Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 19:32 - Swahili Revised Union Version

32 Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Basi, tumlevye baba kwa divai, ili tupate kulala naye na kudumisha uzawa kwa kupata watoto kwake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Basi, tumlevye baba kwa divai, ili tupate kulala naye na kudumisha uzawa kwa kupata watoto kwake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Basi, tumlevye baba kwa divai, ili tupate kulala naye na kudumisha uzawa kwa kupata watoto kwake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Tumnyweshe baba yetu mvinyo, kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Tumnyweshe baba yetu mvinyo kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

32 Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 19:32
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao.

Basi, jihadharini, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafla, kama mtego unasavyo;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo