Mwanzo 19:31 - Swahili Revised Union Version31 Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mwanamume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Wakiwa huko, binti mkubwa akamwambia dada yake, “Baba yetu ni mzee, na hakuna mwanamume nchini wa kutuoa tupate watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Wakiwa huko, binti mkubwa akamwambia dada yake, “Baba yetu ni mzee, na hakuna mwanamume nchini wa kutuoa tupate watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Wakiwa huko, binti mkubwa akamwambia dada yake, “Baba yetu ni mzee, na hakuna mwanamume nchini wa kutuoa tupate watoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Siku moja binti mkubwa akamwambia yule mdogo, “Baba yetu ni mzee, na hakuna mwanaume mahali hapa atakayekutana na sisi kimwili, kama ilivyo desturi ya mahali pote duniani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Siku moja binti mkubwa akamwambia yule mdogo, “Baba yetu ni mzee na hakuna mwanaume mahali hapa atakayekutana na sisi kimwili, kama ilivyo desturi ya mahali pote duniani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mwanamume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote. Tazama sura |