Mwanzo 19:26 - Swahili Revised Union Version26 Lakini mkewe Lutu, akiwa nyuma ya mumewe, aliangalia nyuma akawa nguzo ya chumvi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Lakini mkewe Loti aliyekuwa nyuma ya Loti, akatazama nyuma, akageuka nguzo ya chumvi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini mkewe Loti aliyekuwa nyuma ya Loti, akatazama nyuma, akageuka nguzo ya chumvi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Lakini mkewe Loti aliyekuwa nyuma ya Loti, akatazama nyuma, akageuka nguzo ya chumvi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Lakini mke wa Lutu akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Lakini mke wa Lutu akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Lakini mkewe Lutu, akiwa nyuma ya mumewe, aliangalia nyuma akawa nguzo ya chumvi. Tazama sura |