Mwanzo 19:25 - Swahili Revised Union Version25 Akaangusha miji hiyo na Bonde lote, na wote waliokaa katika miji hiyo, na yote yaliyomea katika nchi ile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 akaiangamiza miji hiyo, bonde lote, wakazi wake wote na mimea yote katika nchi hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 akaiangamiza miji hiyo, bonde lote, wakazi wake wote na mimea yote katika nchi hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 akaiangamiza miji hiyo, bonde lote, wakazi wake wote na mimea yote katika nchi hiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote walioishi katika miji hiyo, hata pia mimea yote katika nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Akaangusha miji hiyo na Bonde lote, na wote waliokaa katika miji hiyo, na yote yaliyomea katika nchi ile. Tazama sura |