Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 18:22 - Swahili Revised Union Version

22 Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Abrahamu alibaki amesimama mbele za BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kutoka hapo, wale watu wakashika njia kuelekea Sodoma, lakini Mwenyezi-Mungu akawa amebaki, amesimama pamoja na Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kutoka hapo, wale watu wakashika njia kuelekea Sodoma, lakini Mwenyezi-Mungu akawa amebaki, amesimama pamoja na Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kutoka hapo, wale watu wakashika njia kuelekea Sodoma, lakini Mwenyezi-Mungu akawa amebaki, amesimama pamoja na Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Basi wale watu wakageuka, wakaelekea Sodoma, lakini Ibrahimu akabaki amesimama mbele za Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Basi wale watu wakageuka wakaenda kuelekea Sodoma, lakini Ibrahimu akabaki amesimama mbele za bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Abrahamu alibaki amesimama mbele za BWANA.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 18:22
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodoma. Abrahamu akaenda pamoja nao awasindikize.


BWANA akasema, Je! Nimfiche Abrahamu jambo ambalo ninataka kulifanya,


Basi, wale malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi.


Abrahamu akatoka asubuhi kwenda mahali aliposimama mbele za BWANA,


Akasema ya kuwa atawaangamiza Kama Musa, mteule wake, asingalisimama, Mbele zake na kusimama palipobomoka, Ili aigeuze hasira yake asije akawaangamiza.


Ndipo BWANA akaniambia, Hata wangesimama mbele zangu Musa na Samweli, moyo wangu usingewaelekea watu hawa; watupe, watoke mbele za macho yangu, wakaende zao.


Je! Mabaya yalipwe badala ya mema? Maana wameichimbia nafsi yangu shimo. Kumbuka jinsi nilivyosimama mbele zako, ili niseme mema kwa ajili yao, nikaigeuze ghadhabu yako isiwapate.


Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu.


Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kulia wa Mungu.


Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo