Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 16:9 - Swahili Revised Union Version

9 Malaika wa BWANA akamwambia, Rudi kwa bimkubwa wako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Yule malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Rudi kwa bimkubwa wako Sarai na umtii.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ndipo malaika wa bwana akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Malaika wa BWANA akamwambia, Rudi kwa bimkubwa wako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 16:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Malaika wa BWANA akamwambia, Hakika nitauzidisha uzao wako, wala hautahesabika kwa jinsi utakavyokuwa mwingi.


Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mikononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.


Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, na unakwenda wapi? Akanena, Namkimbia bimkubwa wangu Sarai.


Roho yake mtawala ikiinuka kinyume chako, Usiondoke mara mahali pako ulipo; Kwa maana roho ya upole hutuliza machukizo yaliyo makubwa.


Hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo.


Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wakaidi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo