Mwanzo 15:8 - Swahili Revised Union Version8 Akasema, Ee Bwana MUNGU, nipateje kujua ya kwamba nitaimiliki? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini Abramu akamwambia, “Ee Mwenyezi-Mungu, nitajuaje kwamba nitaimiliki nchi hii?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini Abramu akamwambia, “Ee Mwenyezi-Mungu, nitajuaje kwamba nitaimiliki nchi hii?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini Abramu akamwambia, “Ee Mwenyezi-Mungu, nitajuaje kwamba nitaimiliki nchi hii?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mungu Mwenyezi, nitawezaje kujua kwamba nitaimiliki?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Lakini Abramu akasema, “Ee bwana Mwenyezi, nitawezaje kujua kwamba nitapata kuimiliki?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Akasema, Ee Bwana MUNGU, nipateje kujua ya kwamba nitaimiliki? Tazama sura |