Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 15:6 - Swahili Revised Union Version

6 Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Abramu akamwamini Mwenyezi Mungu, naye kwake jambo hili likahesabiwa kuwa haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Abramu akamwamini bwana, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 15:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

nawe ukauona moyo wake kuwa mwaminifu mbele zako, ukafanya agano naye, kumpa nchi ya Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Myebusi, na Mgirgashi, naam, kuwapa wazao wake; nawe umetimiza ahadi yako kwani u mwenye haki.


Akahesabiwa kuwa ana haki Kizazi baada ya kizazi hata milele.


Naye aliipokea dalili hii ya kutahiriwa, mhuri wa ile haki ya imani aliyokuwa nayo kabla hajatahiriwa; apate kuwa baba yao wote waaminio, ijapokuwa hawakutahiriwa, ili na wao pia wahesabiwe haki;


Basi je! Heri hiyo ni kwa hao waliotahiriwa, au kwa hao pia wasiotahiriwa? Kwa kuwa tunanena ya kwamba kwake Abrahamu imani yake ilihesabiwa kuwa ni haki.


yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.


Kwa imani Abrahamu alipoitwa aliitika, atoke aende mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.


Maandiko yale yakatimizwa yaliyonena, Abrahamu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo