Mwanzo 15:15 - Swahili Revised Union Version15 Lakini wewe utakwenda kwa baba zako kwa amani, utazikwa katika uzee mwema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini wewe mwenyewe utaishi maisha marefu na kufariki kwa amani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini wewe mwenyewe utaishi maisha marefu na kufariki kwa amani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini wewe mwenyewe utaishi maisha marefu na kufariki kwa amani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wewe hata hivyo utaenda kwa baba zako kwa amani, na kuzikwa katika uzee mwema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wewe, hata hivyo utakwenda kwa baba zako kwa amani na kuzikwa katika uzee mwema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Lakini wewe utakwenda kwa baba zako kwa amani, utazikwa katika uzee mwema. Tazama sura |