Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 14:4 - Swahili Revised Union Version

4 Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu wakaasi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kwa muda wa miaka kumi na miwili walikuwa wakimtii mfalme Kedorlaomeri, lakini mnamo mwaka wa kumi na tatu, walimwasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kwa muda wa miaka kumi na miwili walikuwa wakimtii mfalme Kedorlaomeri, lakini mnamo mwaka wa kumi na tatu, walimwasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kwa muda wa miaka kumi na miwili walikuwa wakimtii mfalme Kedorlaomeri, lakini mnamo mwaka wa kumi na tatu, walimwasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Walikuwa wametawaliwa na Mfalme Kedorlaoma kwa miaka kumi na mbili, lakini mwaka wa kumi na tatu wakaasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Walikuwa wametawaliwa na Mfalme Kedorlaoma kwa miaka kumi na miwili, lakini mwaka wa kumi na tatu waliasi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Miaka kumi na miwili walimtumikia Kedorlaoma, hata mwaka wa kumi na tatu wakaasi.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 14:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa siku za Amrafeli mfalme wa Shinari, na Arioko mfalme wa Elasari, na Kedorlaoma mfalme wa Elamu na Tidali mfalme wa Goimu,

Hawa wote wakakutana katika bonde la Sidimu, yaani Bahari ya Chumvi.

Na mwaka wa kumi na nne akaja Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, wakawapiga Warefai katika Ashteroth-karnaimu, na Wazuzi katika Hamu, na Waemi katika Shawe-kiryathaimu,

Lakini alimwasi kwa kutuma wajumbe huko Misri, wampe farasi na watu wengi. Je! Atafanikiwa? Afanyaye mambo hayo ataokoka? Atalivunja agano, kisha akaokoka?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo