Mwanzo 13:4 - Swahili Revised Union Version4 napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la BWANA hapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ambapo alikuwa amejenga madhabahu. Hapo Abramu akamwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 pale alipokuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la BWANA hapo. Tazama sura |