Mwanzo 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Mwenyezi Mungu alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Mwenyezi Mungu akawatawanya duniani kote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote. Tazama sura |