Mwanzo 11:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hivyo, Mwenyezi-Mungu akawatawanya mahali pote duniani, nao wakaacha kuujenga ule mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hivyo, Mwenyezi-Mungu akawatawanya mahali pote duniani, nao wakaacha kuujenga ule mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hivyo, Mwenyezi-Mungu akawatawanya mahali pote duniani, nao wakaacha kuujenga ule mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hivyo Mwenyezi Mungu akawatawanya kutoka mahali pale waende duniani kote; nao wakaacha kuujenga huo mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hivyo bwana akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji. Tazama sura |