Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 11:22 - Swahili Revised Union Version

22 Serugi akaishi miaka thelathini, akamzaa Nahori.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Serugi alipokuwa na umri wa miaka 30, alimzaa Nahori.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Serugi alipokuwa na umri wa miaka 30, alimzaa Nahori.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Serugi alipokuwa na umri wa miaka 30, alimzaa Nahori.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Serugi alipokuwa ameishi miaka thelathini, akamzaa Nahori.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Serugi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Nahori.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Serugi akaishi miaka thelathini, akamzaa Nahori.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 11:22
3 Marejeleo ya Msalaba  

Reu akaishi baada ya kumzaa Serugi miaka mia mbili na saba, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, wa kiume na wa kike.


Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng'ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Abrahamu na Nahori; waliitumikia miungu mingine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo