Mwanzo 11:21 - Swahili Revised Union Version21 Reu akaishi baada ya kumzaa Serugi miaka mia mbili na saba, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Baada ya kumzaa Serugi, Reu aliishi miaka 207 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Baada ya kumzaa Serugi, Reu aliishi miaka 207 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Baada ya kumzaa Serugi, Reu aliishi miaka 207 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Baada ya kumzaa Serugi, Reu aliishi miaka mia mbili na saba (207), akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Reu akaishi baada ya kumzaa Serugi miaka mia mbili na saba, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama sura |