Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 10:12 - Swahili Revised Union Version

12 na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji mkubwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Reseni ulioko kati ya Ninewi na mji mkubwa wa Kala.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Reseni ulioko kati ya Ninewi na mji mkubwa wa Kala.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Reseni ulioko kati ya Ninewi na mji mkubwa wa Kala.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 na Reseni, mji ulio kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 na Reseni, kati ya Ninawi na Kala, nao ni mji mkubwa.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 10:12
3 Marejeleo ya Msalaba  

Akatoka katika nchi ile akaenda mpaka Ashuru, akajenga Ninawi, na Rehoboth-iri, na Kala;


Misri akazaa Waludi, na Waanami, na Walehabi, na Wanaftuhi,


Mesheki yuko huko, na Tubali, na watu wake umati wote; makaburi yake yamzunguka; wote pia hawakutahiriwa, wameuawa kwa upanga; maana walitisha katika nchi ya walio hai.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo