Mika 6:3 - Swahili Revised Union Version3 Enyi watu wangu, nimewatenda nini? Nami nimewachosha kwa kitu gani? Shuhudieni juu yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachosha kwa kitu gani? Nijibuni! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachosha kwa kitu gani? Nijibuni! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachosha kwa kitu gani? Nijibuni! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Watu wangu, nimewatendea nini? Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Watu wangu, nimewatendea nini? Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Enyi watu wangu, nimewatenda nini? Nami nimewachosha kwa kitu gani? Shuhudieni juu yangu. Tazama sura |