Mika 6:2 - Swahili Revised Union Version2 Sikieni, enyi milima, shutuma ya BWANA, na ninyi, enyi misingi ya dunia iliyo imara; kwa maana BWANA ana shutuma na watu wake, naye atahojiana na Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sikilizeni kesi ya Mwenyezi-Mungu enyi milima, sikilizeni enyi misingi ya kudumu ya dunia! Mwenyezi-Mungu anayo kesi dhidi ya watu wake. Yeye atatoa mashtaka dhidi ya Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sikilizeni kesi ya Mwenyezi-Mungu enyi milima, sikilizeni enyi misingi ya kudumu ya dunia! Mwenyezi-Mungu anayo kesi dhidi ya watu wake. Yeye atatoa mashtaka dhidi ya Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sikilizeni kesi ya Mwenyezi-Mungu enyi milima, sikilizeni enyi misingi ya kudumu ya dunia! Mwenyezi-Mungu anayo kesi dhidi ya watu wake. Yeye atatoa mashtaka dhidi ya Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Mwenyezi Mungu, sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ana shauri dhidi ya watu wake; anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya bwana, sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. Kwa kuwa bwana ana shauri dhidi ya watu wake; anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Sikieni, enyi milima, shutuma ya BWANA, na ninyi, enyi misingi ya dunia iliyo imara; kwa maana BWANA ana shutuma na watu wake, naye atahojiana na Israeli. Tazama sura |