Mika 5:10 - Swahili Revised Union Version10 Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema BWANA, nitawakatilia mbali farasi wako watoke kati yako, nami nitayaharibu magari yako ya vita; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu asema, “Wakati huo nitawaondoa farasi wenu, na kuyaharibu magari yenu ya farasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu asema, “Wakati huo nitawaondoa farasi wenu, na kuyaharibu magari yenu ya farasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Nitaiharibu miji ya nchi yenu, na kuzibomolea mbali ngome zenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “Katika siku ile,” asema Mwenyezi Mungu, “nitaangamiza farasi wenu kati yenu, na kubomoa magari yenu ya vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “Katika siku ile,” asema bwana, “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu na kubomoa magari yenu ya vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema BWANA, nitawakatilia mbali farasi wako watoke kati yako, nami nitayaharibu magari yako ya vita; Tazama sura |