Mika 4:12 - Swahili Revised Union Version12 Lakini wao hawayajui mawazo ya BWANA, wala hawafahamu shauri lake; kwamba amewakusanya kama miganda mahali pa kupuria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini wao hawafahamu mawazo ya Mwenyezi-Mungu wala hawaelewi mpango wake: Kwamba amewakusanya pamoja, kama miganda mahali pa kupuria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini wao hawafahamu mawazo ya Mwenyezi-Mungu wala hawaelewi mpango wake: Kwamba amewakusanya pamoja, kama miganda mahali pa kupuria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini wao hawafahamu mawazo ya Mwenyezi-Mungu wala hawaelewi mpango wake: kwamba amewakusanya pamoja, kama miganda mahali pa kupuria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini hawayajui mawazo ya Mwenyezi Mungu; hawauelewi mpango wake, yeye awakusanyaye kama miganda kwenye sakafu ya kupuria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini hawayajui mawazo ya bwana; hawauelewi mpango wake, yeye awakusanyaye kama miganda kwenye sakafu ya kupuria. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Lakini wao hawayajui mawazo ya BWANA, wala hawafahamu shauri lake; kwamba amewakusanya kama miganda mahali pa kupuria. Tazama sura |